2 Wafalme 16:6 BHN

6 (Wakati huo, mfalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu mji wa Elathi na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa humo. Nao Waedomu wakaingia Elathi na kufanya makao yao huko mpaka sasa.)

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:6 katika mazingira