2 Wafalme 16:7 BHN

7 Basi Ahazi akatuma watu kwa mfalme Tiglath-pileseri wa Ashuru wakiwa na ujumbe huu: “Mimi ni mtumishi wako mwaminifu. Njoo uniokoe kutoka kwa wafalme wa Aramu na Israeli ambao wananishambulia.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:7 katika mazingira