2 Wafalme 16:8 BHN

8 Ahazi akachukua fedha na dhahabu iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na hazina iliyokuwa katika nyumba ya mfalme na kumpelekea kama zawadi mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:8 katika mazingira