2 Wafalme 16:9 BHN

9 Tiglath-pileseri, akiitikia ombi la Ahazi, aliushambulia mji wa Damasko na kuuteka. Akamuua mfalme Resini na kuwapeleka mateka Kiri.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:9 katika mazingira