2 Wafalme 17:4 BHN

4 Lakini wakati mmoja Hoshea alituma wajumbe kwa mfalme wa Misri akiomba msaada; ndipo akaacha kulipa ushuru kwa mfalme Shalmanesa wa Ashuru kama alivyozoea kufanya kila mwaka. Shalmanesa alipoona hivi alimfunga Hoshea kwa minyororo na kumweka gerezani.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 17

Mtazamo 2 Wafalme 17:4 katika mazingira