2 Wafalme 18:1 BHN

1 Katika mwaka wa tatu wa enzi ya Hoshea mwana wa Ela, mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi, mfalme wa Yuda, alianza kutawala;

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18

Mtazamo 2 Wafalme 18:1 katika mazingira