2 Wafalme 18:2 BHN

2 alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala. Alitawala miaka ishirini na tisa huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Abi, binti wa Zekaria.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18

Mtazamo 2 Wafalme 18:2 katika mazingira