37 Kisha Eliakimu mwana wa Hilkia, Shebna katibu na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi, wakamwendea Hezekia huku mavazi yao yakiwa yameraruka, wakamweleza maneno ya jemadari mkuu.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18
Mtazamo 2 Wafalme 18:37 katika mazingira