2 Wafalme 19:1 BHN

1 Mfalme Hezekia alipopata habari hizo, alirarua mavazi yake, akavaa gunia akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:1 katika mazingira