5 Hezekia alimtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomfuata au waliomtangulia.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18
Mtazamo 2 Wafalme 18:5 katika mazingira