6 Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18
Mtazamo 2 Wafalme 18:6 katika mazingira