2 Wafalme 19:14 BHN

14 Mfalme Hezekia alipokea barua kutoka kwa wajumbe na kuisoma. Kisha akaenda na kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, naye akaiweka mbele yake Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:14 katika mazingira