2 Wafalme 19:15 BHN

15 Halafu akamwomba Mwenyezi-Mungu akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, unayekaa katika kiti cha enzi juu ya viumbe wenye mabawa, ni wewe tu uliye Mungu, unayetawala falme zote za ulimwengu. Wewe uliumba nchi na mbingu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:15 katika mazingira