2 Wafalme 19:18 BHN

18 Walitupa miungu yao motoni kwa sababu haikuwa miungu ya kweli, bali sanamu za miti na mawe zilizochongwa na mikono ya watu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:18 katika mazingira