2 Wafalme 19:19 BHN

19 Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, nakusihi utuokoe makuchani mwa Senakeribu, falme zote za dunia zijue kwamba ni wewe peke yako, ee Mwenyezi-Mungu, uliye Mungu.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:19 katika mazingira