2 Wafalme 19:22 BHN

22 Je, uliyekuwa unamkashifu na kumdhihaki ni nani?Nani umemwinulia sautina kumkodolea macho kwa kiburi?Juu ya Mtakatifu wa Israeli!”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:22 katika mazingira