2 Wafalme 19:23 BHN

23 Kwa kuwatuma wajumbe wako umemkashifu Bwana,wewe umesema, “Kwa magari yangu mengi ya vita,nimekwea vilele vya milimampaka kilele cha Lebanoni.Nimekata mierezi yake mirefu,na misonobari mizurimizuri;nimeingia mpaka ndani yakena ndani ya misitu yake mikubwa.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:23 katika mazingira