2 Wafalme 19:28 BHN

28 Kwa vile umefanya mipango dhidi yanguna nimeusikia ufidhuli wako,nitatia ndoana yangu puani mwako,na lijamu yangu kinywani mwako.Nitakurudisha njia ileile uliyojia.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:28 katika mazingira