2 Wafalme 19:29 BHN

29 Kisha Isaya akamwambia mfalme Hezekia, “Na hii ndio itakuwa ishara kwako Hezekia: Mwaka huu na mwaka ujao mtakula kinachomea chenyewe bila kupandwa. Lakini katika mwaka wa tatu mtapanda na kuvuna mavuno; mtapanda mizabibu na kula matunda yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:29 katika mazingira