2 Wafalme 19:30 BHN

30 Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile mti unavyotoa mizizi yake udongoni na kuzaa matunda juu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:30 katika mazingira