2 Wafalme 19:31 BHN

31 Maana kutakuwako watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika; maana Mwenyezi-Mungu amedhamiria kukamilisha hayo.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:31 katika mazingira