2 Wafalme 19:32 BHN

32 “Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya mfalme wa Waashuru: ‘Hataingia katika mji huu wala kuupiga mshale wala kuujia kwa ngao wala kuuzingira.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:32 katika mazingira