2 Wafalme 19:37 BHN

37 Siku moja wakati Senakeribu alipokuwa akiabudu katika nyumba ya Nisroki mungu wake, wanawe wawili, Adrameleki na Sharezeri walimuua kwa upanga, halafu wakakimbilia nchini Ararati. Naye Esar-hadoni, mwanawe akatawala badala yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:37 katika mazingira