2 Wafalme 20:1 BHN

1 Wakati huo Hezekia aliugua sana karibu na kufa. Ndipo nabii Isaya, mwana wa Amozi alipomwendea na kumwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu; ‘Panga mambo yako sawasawa katika nyumba yako kwa kuwa utakufa, hutapona.’”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20

Mtazamo 2 Wafalme 20:1 katika mazingira