2 Wafalme 19:6 BHN

6 aliwaambia “Mwambieni bwana wenu kwamba Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Usiogope kwa sababu ya maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wameyasema kunikebehi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:6 katika mazingira