2 Wafalme 19:7 BHN

7 Tazama nitamfanya mfalme asikie uvumi, halafu atarudi katika nchi yake na huko nitamfanya auawe kwa upanga.’”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:7 katika mazingira