2 Wafalme 19:8 BHN

8 Kisha yule jemadari mkuu aliposikia kwamba mfalme wa Ashuru alikuwa ameondoka Lakishi, aliondoka na kumkuta akiushambulia mji wa Libna.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:8 katika mazingira