11 Walipokuwa wanatembea na kuongea, ghafla, gari la moto likatokea pamoja na farasi wa moto; likawatenganisha; naye Elia akachukuliwa mbinguni katika kisulisuli.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2
Mtazamo 2 Wafalme 2:11 katika mazingira