2 Wafalme 2:7 BHN

7 Manabii hamsini wakawafuata mpaka mtoni Yordani. Elia na Elisha wakasimama karibu na mto, nao manabii wakasimama mbali kidogo.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2

Mtazamo 2 Wafalme 2:7 katika mazingira