8 Elia akalivua vazi lake, akalikunja na kuyapiga maji, maji yakagawanyika katika sehemu mbili, nao wakavuka hadi ngambo ya pili, wakapitia mahali pakavu.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2
Mtazamo 2 Wafalme 2:8 katika mazingira