2 Wafalme 2:9 BHN

9 Walipofika ngambo, Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2

Mtazamo 2 Wafalme 2:9 katika mazingira