2 Wafalme 20:14 BHN

14 Ndipo nabii Isaya alipomwendea mfalme Hezekia na kumwuliza, “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamjibu, “Wamenijia kutoka nchi ya mbali.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20

Mtazamo 2 Wafalme 20:14 katika mazingira