2 Wafalme 20:15 BHN

15 Halafu akamwuliza, “Wameona nini katika ikulu yako?” Hezekia akamjibu, “Wameona yote yaliyomo katika ikulu yangu. Hakuna chochote katika bohari zangu ambacho sikuwaonesha.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20

Mtazamo 2 Wafalme 20:15 katika mazingira