2 Wafalme 20:18 BHN

18 Tena baadhi ya watoto wako wa kiume watapelekwa mateka, nao watakuwa matowashi katika ikulu ya mfalme wa Babuloni.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20

Mtazamo 2 Wafalme 20:18 katika mazingira