2 Wafalme 20:19 BHN

19 Naye Hezekia akamwambia Isaya, “Neno la Mwenyezi-Mungu kama ulivyolisema ni sawa.” Alisema hivyo kwani alifikiri, “Kwa nini isiwe hivyo, ikiwa kutakuwapo amani na ulinzi katika siku za utawala wangu.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20

Mtazamo 2 Wafalme 20:19 katika mazingira