2 Wafalme 21:18 BHN

18 Manase alifariki na kuzikwa katika bustani ya nyumba yake mwenyewe, katika Bustani ya Uza. Naye Amoni mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:18 katika mazingira