2 Wafalme 21:19 BHN

19 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Jina la mama yake ni Meshulemethi, binti Haruzi wa Yothba.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:19 katika mazingira