2 Wafalme 21:2 BHN

2 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kwa kuiga mienendo miovu ya mataifa ambayo yalifukuzwa na Mwenyezi-Mungu wakati watu wake, Waisraeli walipokuwa wanaingia nchini.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:2 katika mazingira