18 Lakini kuhusu mfalme wa Yuda aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu, mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, juu ya maneno uliyoyasikia,
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22
Mtazamo 2 Wafalme 22:18 katika mazingira