17 Kwa sababu wameniacha na kufukizia ubani miungu mingine na hivyo kunikasirisha kwa kazi zote za mikono yao, ghadhabu yangu dhidi ya Yerusalemu itawaka na haitaweza kutulizwa.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22
Mtazamo 2 Wafalme 22:17 katika mazingira