2 Wafalme 22:2 BHN

2 Yosia alitenda mema na alimpendeza Mwenyezi-Mungu. Alifuata mfano wa mfalme Daudi aliyemtangulia, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa makini.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22

Mtazamo 2 Wafalme 22:2 katika mazingira