3 Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, mfalme alimtuma katibu Shafani, mwana wa Azalia, mwana wa Meshulamu, katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu akisema,
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22
Mtazamo 2 Wafalme 22:3 katika mazingira