2 Wafalme 22:4 BHN

4 “Nenda kwa kuhani mkuu Hilkia umwambie ahesabu zile fedha zilizoletwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambazo mabawabu walizikusanya kutoka kwa watu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22

Mtazamo 2 Wafalme 22:4 katika mazingira