5 Kiasi cha fedha hizo zipewe wasimamizi wa marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kulipa mishahara ya mafundi wanaofanya marekebisho,
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22
Mtazamo 2 Wafalme 22:5 katika mazingira