2 Wafalme 22:8 BHN

8 Kisha kuhani mkuu Hilkia alimwambia katibu Shafani, “Nimekipata Kitabu cha Sheria katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.” Halafu Hilkia akampatia Shafani kitabu, naye akakisoma.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22

Mtazamo 2 Wafalme 22:8 katika mazingira