2 Wafalme 23:22 BHN

22 Hakuna Pasaka iliyosherehekewa kama hii tangu wakati wa waamuzi waliowaamua Waisraeli wala wakati wa ufalme wa Israeli au wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:22 katika mazingira