2 Wafalme 23:21 BHN

21 Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:21 katika mazingira