2 Wafalme 23:20 BHN

20 Aliwaua makuhani wote wa miungu ya uongo juu ya madhabahu ambapo walitumikia na kuchoma mifupa yao juu ya madhabahu hayo. Kisha alirudi Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:20 katika mazingira