2 Wafalme 23:24 BHN

24 Tena, ili mfalme Yosia atekeleze sheria zote zilizoandikwa katika kitabu alichokipata kuhani mkuu Hilkia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, aliondoa katika nchi ya Yuda na Yerusalemu, wachawi, watabiri, vinyago vya miungu, sanamu za miungu pamoja na vitu vyote vya kuchukiza.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:24 katika mazingira