2 Wafalme 23:25 BHN

25 Kabla ya Yosia au baada yake hakuna mfalme yeyote aliyekuwa kama yeye, ambaye alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote, kwa nguvu zake zote na kwa roho yake yote kulingana na sheria ya Mose.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:25 katika mazingira